Mbaraka mwinshehe biography graphic organizer

Mbaraka, the icon who never peaked - The Citizen

Mbaraka Mwinshehe

Mbaraka Mwinshehe
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaMbaraka Mwinshehe Mwaruka
Amezaliwa(1944-06-27)Juni 27, 1944
Morogoro,
Tanzania
Amekufa12 Januari 1979 (umri 34)
Mombasa, Kenya
Kazi yakeMwimbaji, mtunzi, mpiga gitaa
Miaka ya kazi1950-1979

Mbaraka Mwinshehe Mwaruka (27 Juni1944 - 12 Januari1979) alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania.

Ni mwanamuziki pekee aliyeshinda mashindano ya China miongo iliyopita akamshinda Franco.

Historia

Maisha na muziki

Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alizaliwa mjiniMorogoro akiwa mtoto wa pili kati ya watoto 12. Baba yake Mwinshehe Mwaruka alikuwa Mluguru msomi na karani katika mashamba ya katani, na mama yake alikuwa Mngoni.

Kati ya hao kumi na wawili, ni yeye na wadogo zake Zanda na Matata ndio walikuwa wanamuziki, Zanda alikuwa mwimbaji, akiimba pia nyimbo za kizungu katika bendi ya Morogoro na Matata alikuwa mchezaji ngoma kwenye bendi hiyohiyo. Kut Morogoro Jazz Band - Wikipedia PIRU